Tamasha la OIC Lahitimisha kwamba Qatar na Dola za Kiarabu…
Jumanne, 8 Rabi' II 1447 - 30 Septemba 2025
Kufuatia shambulizi la kombora la umbile la Kizayuni dhidi ya wanachama wa Hamas nchini Qatar, taarifa ya mwisho ya mkutano wa dharura wa kilele wa Waarabu-Waislamu (OIC na Ligi ya Waarabu) uliofanyika jijini Doha mnamo 15 Septemba 2025, “unashutumu vikali uvamizi wa Israel dhidi ya Qatar, na kuutaja kuwa ni kama pigo kwa matarajio yoyote ya amani katika eneo hilo. Tangazo hilo zilizisihi nchi wanachama kuzingatia upya mafungamano yao ya kidiplomasia na kiuchumi na Israel na kufuata hatua za kisheria dhidi yake.”
DVD “Nasheed za Khilafah 1447 H - 2025 M”
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wanaozuru kurasa…
Ni Nani Anayeupiga Vita Ummah?
Takriban watu 24, wakiwemo watoto, wameuawa katika milipuko katika eneo la kijijini la Khyber Pakhtunkhwa…
Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Kitengo cha…
Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Kimezindua kampeni ya…
Trump, Msaidizi Mkuu wa Umbile la Kiyahudi katika Uhalifu wake…
Trump alisema katika chapisho kwenye jukwaa lake la Kijamii la Ukweli: “Ninafuraha kuripoti kwamba tuna…
Makubaliano ya Aibu ya Kuhalalisha Usalama na Mayahudi na Miradi…
Katika taarifa ambazo, kusema kwa uchache, ni hatari, zilizotolewa na mkuu wa awamu ya mpito,…