Minbar ya Ummah: Maandamano katika Mji wa Idlib Kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw)
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Minbar ya Ummah: Maandamano katika Mji wa Idlib Kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw)
Minbar ya Ummah: Maandamano katika Mji wa Idlib Kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw)
Halaiki ya watu wa mji wa Salkeen viungani mwa Idlib waliandaa kisimamo cha kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) chini ya anwani: "Tunakuitikia Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu".
Halaiki ya watu wa kijiji cha Deir Hassan viungani mwa Idlib ilijitokeza katika maandamano ya kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) chini ya anwani "Tunakuitikia Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu".
Halaiki ya watu wa kijiji cha Felon ilijitokeza katika maandamano ya usiku kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) chini ya anwani: "Tunakuitikia Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu".
Halaiki ya watu wa kambi za Al-Karamah ilijitokeza katika maandamano ya kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) chini ya anwani: "Tunakuitikia Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu".
Kujitokeza kwa halaiki ya watu wa viunga vya Hama Kaskazini na Idlib Kusini katika maandamano katika mkusanyiko wa kambi za Al-Karameh,
Kisimamo cha watu wa viunga vya Hama na Idlib katika kambi za Al-Karamah mbele ya Msikiti wa Walinganizi wa Kuwait chini ya anwani:
Taarifa kutoka kwa watu huru wa Idlib ndani yake wakipinga kukamatwa kwa wabebaji Da'wah! Na wa mwisho wao ni Sheikh "Abdulqadir Hilal" na ndani yake wakiyaomba makundi kutoka katika ukimya wao na kupambanua haki mbele ya madhalimu!
Maandamano yalifanyika mbele ya Msikiti wa Hussein katika mji wa Idlib kwa kichwa, "Suala sio Barabara Kuu ya M4, Suala letu ni Kuanguka kwa Utawala."
Maandamano yaliyofanywa na watu pamoja na Waheshimiwa wa Al-Muharrar katika Barabara Kuu ya M4 wakipinga kufunguliwa kwa barabara na kuruhusu kupigwa doria, kwa kichwa, "Ni nini kitatokea baada ya doria? Vipi kuhusu Kuanguka kwa Utawala?"