Jumamosi, 11 Sha'aban 1441 | 2020/04/04
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Mafunzo Makubwa Kutoka kwa Abu Ayyub Al-Ansari kwa Waislamu Jumla na Hasa kwa Majeshi ya Waislamu Juu ya Kumbukumbu ya 99!

Katika kumbukumbu ya 99 ya kuvunjwa kwa Khilafah huko Istanbul, ni juu yetu kumkumbuka mmoja wa masahaba wakubwa wa Mtume (saw), Abu Ayyub Al-Ansari, alikuwa ni miongoni mwa watiaji hamasa wakubwa kwa jeshi la Sultan Fatih kuhakikisha kufikiwa bishara ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) katika kuiteka Konstantinopoli (ambayo baadaye ikawa Istanbul).

Soma zaidi...

Akiwa Amevalia Vazi la Fedheha na Aibu, kwa Amri Kutoka Amerika, Al-Burhan Anatafuta Kusawazisha Mambo na Umbile la Kiyahudi

Kwa mujibu wa gazeti la Al-Saiha lililochapishwa mnamo 04/02/2020, chanzo kimoja cha serikali kilizingatia kuwa maandalizi ya mkutano ni mojawapo ya ajenda muhimu zilizokuwa zikizungumziwa kupitia maongezi ya simu kati ya Al-Burhan na Waziri wa Kigeni wa Amerika Mike Pompeo jana!!

Soma zaidi...

Wavamizi Wamuua mtu katika ardhi yake, damu ikilowanisha ardhi Vipi Kuhusiana na maisha yake juu ya watawala wa Waislamu?

KHAN YOUNIS - GAZA: Mohammed Al-Naem alipigwa risasi na kufa mnamo Jumaapili na jeshi la Israeli, ambalo lilimshitaki kwa kutega bomu karibu na mpaka wa uzio wa mashariki ya Khan Younis yenye kuzingirwa na Mpaka wa Gaza. Familia ya Mohammed ilikanusha hili kwa kusema kwamba uwepo wake karibu na uzio ulikuwa wa amani.

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu