Jumamosi, 11 Shawwal 1445 | 2024/04/20
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Scandinavia

Amali Zilizo Andaliwa kipindi cha Kampeni ya Kulimwengu,

“Ukombozi wa Konstantinopoli Bishara Njema Ikatimia …Inafuatiwa na Bishara Njema Nyingine”

Kwa muongozo wa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amlinde, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir ili zindua kampeni pana ya kiulimwengu kuadhimisha tukio Adhimu la Hijria la Ukombozi wa Konstantinopoli (mji wa Heraclius) ambao ulizungukwa kuanzia mnamo 26 Rabii’ al-Awwal mpaka 20 Jumada al-Awwal 857 H sawia na 5 Aprili mpaka 29 Mei 1453 M na hivyo bishara njema ya Hadith tukufu ya Nabii (saw) ikatimia:

«لَتُفْتَحَنَّ الْقُسْطَنْطِينِيَّةُ فَلَنِعْمَ الْأَمِيرُ أَمِيرُهَا وَلَنِعْمَ الْجَيْشُ ذَلِكَ الْجَيْشُ»

Mtaifungua Kostantinopol, Amir wake ni Amir bora, na Jeshi lake litakuwa jeshi Bora.”

Hizb ut Tahrir / Scandinavia ili toa mchango wake katika kampeni hii ya kiulimwengu. Sifa zote zinastahiki Mwenyezi Mungu (swt)

 Ijumaa, 15 Jumada al-Awwal 1441 H sawia na Januari 10, 2020 M

Kauli ya Ustadh Munzir Abdullah

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Scandinavia

Maadhimisho ya Kukombolewa kwa Konstantinopoli

Jumatano, 20 Jumada al-Awwal 1441 H    sawia na Januari 15, 2020 M

[Bofya Picha utizame Video]

Kauli ya Hajj Said

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Scandinavia

Maadhimisho ya Kukombolewa kwa Konstantinopoli

Jumatano, 20 Jumada al-Awwal 1441 H sawia na Januari 15, 2020 M

[Bofya Picha utizame Video]

Kauli ya Ustadh Farhat

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Scandinavia

Maadhimisho ya Kukombolewa kwa Konstantinopoli

Jumatano, 20 Jumada al-Awwal 1441 H sawia na Januari 15, 2020 M

[Bofya Picha utizame Video]

Kauli ya Ustadh Taim

Mwanachama wa Hizb ut Tahrir Scandinavia

Maadhimisho ya Kukombolewa kwa Konstantinopoli

Jumatano, 20 Jumada al-Awwal 1441 H sawia na Januari 15, 2020 M

[Bofya Picha utizame Video]

Ili kupata habari zaidi, tafadhali zuru tovuti za Hizb ut Tahrir/Scandinavia:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir/ Scandinavia
Ukurasa wa wa Facebook Hizb ut Tahrir/ Scandinavia
Akaunti ya Twitter ya Hizb ut Tahrir/ Scandinavia

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Scandinavia
Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir/ Scandinavia

Alama Ishara za Kampeni:

#فتح_القسطنطينية

#القسطنطينية

#İstanbulunFethi
#istanbul

#ConquestofIstanbul
#Constantinople

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumapili, 12 Aprili 2020 06:29

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu