Jumatatu, 07 Ramadan 1442 | 2021/04/19
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Amali za Umma Kumnusuru Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw)

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan iliandaa kampeni ya hotuba ya hadhara na maandamano yanayolingania kusimamisha Khilafah kwa njia ya Utume, ambayo itazuia kumkashifu mara kwa mara Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw).

Watawala wa Waislamu wa sasa hawatuwakilishi katika kile tunachokithamini sana, na kamwe hatutawahi kuona utetezi wa kweli wa heshima ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) - mpaka tuirudishe Khilafah inayotawala kwa Quran na Sunnah ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw).” Hata katika nyakati dhaifu za Khilafah, mapenzi na utiifu kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) yalidhihirika katika matendo ya Khalifa wa Kiuthmani, Abd al-Hamid II, wakati Uingereza na Ufaransa, dola kuu za ulimwengu za wakati huo, zilipoanzisha mashambulizi kwa heshima ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw). Kwa tishio tu la kutangaza Jihad na vikosi vya jeshi la Khilafah lilitosha kuwatia adabu washirikina wa Wanajeshi ya Msalaba na kuwalazimisha kurudi nyuma, na wasirudie hilo tena hadi baada ya Khilafah kuvunjwa.

Hivyo basi, kila mmoja wetu anapaswa kuwa mkweli katika mapenzi yake na utiifu kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw), kwa kujitahidi kusimamisha Khilafah kwa njia ya Utume, ili mikono na ndimi ovu ambazo zimefunuliwa kwa heshima ya Mtume Muhammad (saw) zikatwe.

Ijumaa, Rabi ul-Awwal 13, 1442 H sawia na 30 Oktoba, 2020 M

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Pakistan

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu