Alhamisi, 09 Shawwal 1445 | 2024/04/18
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Kongamano la Hizb ut Tahrir/ Wilayah Sudan:

“Ukombozi wa Konstantinopoli: bishara njema ikatimia na inafuatiwa na bishara njema zaidi za kuhuisha juhudi za wanaume”

Kwa muongozo wa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amlinde, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir ili zindua kampeni pana ya kiulimwengu kuadhimisha tukio Adhimu la Hijria la Ukombozi wa Konstantinopoli (mji wa Heraclius) ambao ulizungukwa kuanzia mnamo 26 Rabii’ al-Awwal mpaka 20 Jumada al-Awwal 857 H sawia na 5 Aprili mpaka 29 Mei 1453 M na hivyo bishara njema ya Hadith tukufu ya Nabii (saw) ikatimia:

«لَتُفْتَحَنَّ الْقُسْطَنْطِينِيَّةُ فَلَنِعْمَ الْأَمِيرُ أَمِيرُهَا وَلَنِعْمَ الْجَيْشُ ذَلِكَ الْجَيْشُ»

Mtaifungua Konstantinopoli, Amir wake ni Amir bora, na Jeshi lake litakuwa jeshi Bora.”

Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan ili toa mchango wake katika kampeni hii ya kiulimwengu. Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan iliandaa msururu wa amali ambazo kilele chake ni kongamano kwa anwani: ““#Ukombozi wa #Konstantinopoli: bishara njema ikatimia na inafuatiwa na bishara njema zaidi za kuhuisha juhudi za wanaume.” Sifa zote zinastahiki Mwenyezi Mungu (swt)

Ijumaa, 15 Jumada al-Awwal 1441 H – 10 Januari 2020 M

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumamosi, 16 Mei 2020 07:05

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu