Kutokuwepo kwa Uislamu kwenye Mandhari Hutia Ujasiri Mataifa Kutushambulia Ni Khilafah Pekee Inayohifadhi Hadhi Yetu
- Imepeperushwa katika Kitengo cha Wanawake Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ingekuwa jambo tukufu kiasi gani kama maafisa katika majeshi ya Ummah wangeelewa dori yao waliyopewa, na wangejua umuhimu wa dori yao katika mabadiliko na dhambi kubwa linaloangukia mabegani mwao kwa kunyamaza kwao.



