Shambulizi la Muafghani jijini Washington na Maeneo Yaliyofichwa ya Siasa
Jumanne, 18 Jumada II 1447 - 09 Disemba 2025
Shambulizi la silaha jijini Washington, D.C. wiki moja iliyopita—ambapo Rahmanullah Lakanwal, raia wa Afghanistan, anatuhumiwa kuwafyatulia risasi Walinzi wawili wa Kitaifa wa Marekani—lilitokea karibu na kituo cha Metro cha Farragut Magharibi, mita mia chache tu kutoka Ikulu ya White House, eneo ambalo kwa kawaida linalindwa na baadhi ya tabaka kali zaidi za usalama. Kutokana na ufyatuaji risasi huo, Sarah Bäckström, mlinzi wa Kitaifa wa miaka 20, aliuawa na Andrew Wolf alijeruhiwa vibaya.
Utawala wa Sharaa nchini Syria Haujui Mipaka Katika Kujisalimisha Kwake…
Rais wa Marekani Donald Trump alituma barua iliyoandikwa kwa mkono kwa kiongozi wa Syria Ahmed…
Tanzia ya Mbebaji Ulinganizi Marwan Al-Khatib (Abu Muhammad)
Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon inamuomboleza: Mwanachuoni mtukufu, khatib, sheikh, mwandishi, na mshairi, Marwan al-Khatib…
Kukamatwa Kupya kwa Wanachama wa Hizb ut Tahrir nchini Yemen…
Mnamo Alhamisi, 27/11/2025, vikosi vya usalama vya Mahouthi vilimkamata Saddam Ali Qa’id al-Mukirdi, mwenye umri…
Mapambano Dhahiri ya Kikoloni huko Hadramawt juu ya Mafuta Na…
Mnamo Jumamosi, 29/11/2025, vikosi vya jeshi vya Kikosi cha Ulinzi cha Hadramawt chenye uhusiano na…
Masanduku ya Kura katika Mfumo Fisadi Ndio Udanganyifu Mkubwa Zaidi…
Tangu Marekani ilipovamia mwaka wa 2003 hadi sasa, Iraq imekuwa ikizama katika matatizo, na hali…




