Jumatano, 12 Shawwal 1441 | 2020/06/03
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Al-Waqiyah TV: Kikao cha kipekee kuhusu Hotuba ya Amiri wa Hizb ut Tahrir Juu ya Tukio la Ukumbusho wa 99 wa Kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah

Kikao cha kipekee kwenye Runinga ya Al-Waqiyah

kuhusu Hotuba ya Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah Juu ya Tukio la Ukumbusho wa 99 wa Kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah

Wageni maalum ni pamoja na:

Mhandisi Salah Eddine Adada (Abu Mohammad)
Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir
Mhandis. Ismail Al-Wahwah / Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir Australia
Ustadh Abdel Raouf Al-Amiri / Mkuu wa Kamati ya Siasa ya  Hizb ut Tahrir, Wilayah ya Tunisia
Dkt. Muhammad Al-Malkawi / Mwanachama wa Hizb ut Tahrir, Wilayah Jordan
Dkt. Mahmoud Abdel-Hadi / Mwanachama wa Hizb ut Tahrir, Wilayah Lebanon
Sheikh Essam Ameira / Mwanachama wa Hizb ut Tahrir katika Ardhi Tukufu (Palastina)
Ustadh Saeed Fadhl / Mwanachama wa Hizb ut Tahrir, Wilayah Misri

Usiku wa Jumatatu, 28 Rajab 1441 H sawia na 23/03/2020 M

Habari Zaidi: Bonyeza Hapa

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumamosi, 04 Aprili 2020 08:01

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu