Jumatano, 12 Shawwal 1441 | 2020/06/03
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Al-Waqiyah TV: Mahojiano na Ummah wa Kiisilamu Juu ya Tukio la Ukumbusho waa 99 wa Kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah

Kwa muongozo wa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amlinde, Hizb ut Tahrir imezindua kampeni pana ya kiulimwengu ya ukumbusho wa 99 Hijria wa Kuanguka kwa Khilafah mnamo 28 mwezi mtukufu wa Rajab 1342 H sawia na 3 Machi 1924 M. Katika hafla hii, Runinga ya Al-Waqiyah ilifanya mfululizo wa mahojiano na watu kutoka kwa Ummah wa Kiislamu juu ya ukumbusho wa 99 wa kuanguka kwa Khilafah. Tumechagua sehemu ya kuchapishwa hapa kwenye Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mweza juu ya haya.

Furushi ya mahojiano yaliyofanywa
na watu wa Ummah Juu ya Tukio la Ukumbusho wa 99 wa Kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah

Bonyeza Hapa kwa maelezo zaidi

Jumatano, 01 Shaaban 1441 H sawia na 25/03/2020 M

Mahojiano na Mwandishi wa Habari Mohamed Mabrouk kutoka Sudan kuhusu Hizb ut Tahrir na ukweli wake kwamba itafikia lengo lake hivi karibuni, Mwenyezi Mungu akipenda

Jumatano, 01 Shaaban 1441 H sawia na 25/03/2020 M

Mahojiano na Ustadh Al-Kayahi Hajj Sukhrawardi kutoka Indonesia

Mahojiano na Ustadh Sutki kutoka Indonesia

Mahojiano na Ustadh Daniel Mohamed Rashid kutoka Indonesia

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu