Hizb ut Tahrir/ Wilaya Afghanistan: Msimamo Imara kwa Ummah Ulio Amka
- Imepeperushwa katika Afghanistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo Septemba 17 katika mkoa wa Laghman, mauaji ya wanawake 14 na watoto wasio na hatia yaliyo fanywa na makruseda, wakimtukana Mtume wetu (saw) na kama kawaida majibu ya aibu ya watawala wasaliti, ambayo hayajawahi kuwepo katika miaka 1400 ya historia, na uhaini mwingine kama huu unaofanywa na maadui wa Uislamu ni kutokana na kukosekana kwa ngao yenye ikhlasi (Khalifah) na Dola ya Khilafah.



