Jumanne, 24 Sha'aban 1445 | 2024/03/05
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Mwito kwa Majeshi ya Ulimwengu wa Waislamu Kuinusuru Gaza ‘Harakisheni Majeshi Yenu Kuikomboa Gaza Na Al-Aqsa’

Leo Ijumaa 20 Oktoba 2023 Miladi / 05 Rabi’ al-Akhir 1445 Hijria baada ya Swala ya Ijumaa, Hizb ut Tahrir Tanzania ilifanya visimamo vya maandamano baridi (picketing) sehemu mbali mbali nchini kutoa mwito kwa majeshi ya nchi za Waislamu kuchangamsha majeshi yao kuikomboa Gaza, Palestina na Masjid Aqsa.

Soma zaidi...

Tunataka Haki kwa Mahabusu Sio Ahadi za Kilaghai Ambazo Kamwe Hazitekelezwi

Mahakama kwa mara nyingine imewabwaga chini ndugu zetu: Ust Ramadhan Moshi Kakoso (45), Waziri Mkaliaganda (37) na Omar Salum Bumbo (55) wanachama wa Hizb ut Tahrir Tanzania ambao walitekwa, wakabambikiwa kesi ya ‘ugaidi’ na bado wako kizuizini kwa miaka minne na nusu sasa kwa kisingizio cha ‘uchunguzi unaendelea’ huku wakinyimwa haki zao za msingi kama kutembelewa na ndugu zao na kuletewa chakula cha nje ya mahabusu.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu