UCHUMI MUOVU WA KIBEPARI NDIO CHANZO CHA MSOTO ULIMWENGUNI
- Imepeperushwa katika Kenya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ni wazi kuwa uchumi ndio uti wa mgongo wa maisha ya wanadamu na hupelekea udharura wa kuweko utaratibu wa kuendesha ukuzaji na usambazaji wa rasilimali (utajiri) katika jamii.