Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina): Wanawake Huru wa Palestina Wanawazungumzia wale Wanaowafisidi Wanawake na Kuunga Mkono Makubaliano ya CEDAW!
- Imepeperushwa katika Palestina
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Umati mkubwa wa wanawake kutoka Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina waliitikia wito wa dada zao huko Khalil (Hebron) kwa mkutano wa kipekee wa kujadili hukmu za Kiislamu kuhusu wanawake na familia za Kiislamu. Lengo lilikuwa kuwalinda na kuwaelimisha dhidi ya kampeni za Magharibi na ufisadi zinazotaka kuwaangamiza, na hivyo, familia na jamii, kupitia mbinu na njia mbalimbali.



