Huku Ongezeko Kubwa katika Viwango vya Riba Likiangamiza Uchumi, Benki Zinafaidika Pakubwa (Imetafsiriwa)
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ripoti ya ukaguzi wa nusu ya mwaka wa Benki Kuu ya Pakistan, iliyochapishwa mnamo 18 Septemba 2023, ilifichua kwamba faida ya mabenki ilikuwa rupia bilioni 126 katika nusu ya kwanza ya mwaka uliopita.