Majibu kwa Gazeti la ‘The Sunday Telegraph’ na Tuhuma ya Kiupendeleo ya Misimamo mikali
- Imepeperushwa katika Uingereza
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mwandishi wa habari kutoka gazeti la ‘The Sunday Telegraph’ aliwasiliana na Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Uingereza akiuliza kuhusu shughuli za chama na maoni ya hivi majuzi ya Mbunge mmoja ambaye alisema ana wasiwasi na ukaribu wa shughuli za wanachama wa Hizb ut Tahrir wanaoomba hifadhi katika jiji hili.