Palestina Inakombolewa kwa Majeshi, Sio kwa Makongamano na Sheria ya Kimataifa
- Imepeperushwa katika Misri
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
“Wakati umewadia wa amani...” Risala za Al-Sisi kutoka kwa Kongamano wa Kuinusuru Al-Quds, chini ya kichwa hiki Gazeti la Al-Dustour liliandika mnamo Jumapili 12/2/2023, kuwasilisha kile lilichokiita risala za rais wa Misri, ambaye alisema: Kadhia ya Palestina bado ni kipaumbele kwa Misri na Waarabu.