Je, sio Wakati sasa wa Kuiwajibisha Marekani na Nchi za Kimagharibi, Wachochezi wa Ugaidi?!
- Imepeperushwa katika Uturuki
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo Jumapili, Novemba 13, 2022, shambulizi baya la kigaidi lilifanyika Taksim, Istanbul, ambapo mlipuko uliua watu 6, wakiwemo watoto 2, na kujeruhi watu 81. Mamlaka zilitangaza kwamba shambulizi hilo la kigaidi lilitekelezwa kwa maagizo ya Chama cha Wafanyikazi wa Kurdistan/Chama cha Umoja wa Kidemokrasia/Vitengo vya Ulinzi wa Watu.