Kuchoma Msahafu ni Uadui Dhidi ya Kila Muislamu
- Imepeperushwa katika Sweden
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Baadhi ya watu wenye chuki walipanga kuzichoka nakala za Quran Tukufu kwa njia ya kuchukiza, mbaya nje ya msikiti mmoja mjini Malmö Ijumaa iliyopita.