Katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa kwa Khilafah Palestina itakombolewa na Khilafah, kwa hiyo Uhamasisheni Ummah na Majeshi yake Kuisimamisha
- Imepeperushwa katika Palestina
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kila siku, umbile la Kiyahudi linakoleza dhulma yake, ukosefu wa adili, na uonevu. Kumwaga damu tukufu asubuhi na jioni, kuuvamia Msikiti wa Al-Aqsa kila siku, na kuzuia harakati ndani yake hata mbele ya wamiliki wa uwongo wa “usimamizi wa Hashemiya”.