Denmark: Kongamano "Udhibiti wa Kijamii na Jamii Sambamba?!"
- Imepeperushwa katika Denmark
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Denmark yaandaa kongamano kwa anwani "Udhibiti wa Kijamii na Jamii Sambamba?!"
Hizb ut Tahrir / Denmark yaandaa kongamano kwa anwani "Udhibiti wa Kijamii na Jamii Sambamba?!"
Kisimamo cha kulaani katika mkusanyiko wa Al-Karama - viungani mwa Idlib chini ya anwani "Mdhamini wa Kituruki ni Kuisalimisha Ardhi na Kumwaga Damu" dhidi ya mauaji ya kidhulma na kiuadui ya mtoto "Ridhwan Sattam Al-Obaid" na askari wa Kituruki.
Imekuwa miaka miwili tangu Raja Dahir wa zama zetu, Modi, kuiunganisha kwa nguvu Kashmir Iliyokaliwa mnamo 5 Agosti 2019.
Kwa rehema za Mwenyezi Mungu SWT, Harakati ya Hizb ut-Tahrir Kenya imetamatisha kampeni yake ya kiuchumi ilioanza tarehe 11 Julai 2021, na kutamatika tarehe 11 Agosti 2021.
Muendelezo wa amali za umma zilizofanywa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan katika mikoa na wilaya tofauti tofauti za nchi ili kujenga rai jumla juu ya vipengee vya Uislamu na masuluhisho yake yanayohusiana na nidhamu tofauti tofauti za maisha,
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Pakistan inaandaa kampeni kubwa kwenye mitandao ya kijamii kwa anwani "Kuikomboa Kashmir ni Faradhi ya kisheria!" Ili kuthibitisha uhakika wa kisheria kuhusu kadhia ya Kashmir, kwamba ni ardhi za Kiislamu zinazokaliwa na Dola kafiri ya Kibaniani,
Mnamo Jumamosi, 28 Dhu al-Hijjah 1442 H sawia na tarehe 07/08/2021 M, Jukwaa la Kadhia za Umma la Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan lilifanyika katika ukumbi wa afisi ya hizb jijini Khartoum,
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika mji wa Azaz viungani mwa Aleppo Kaskazini baada ya swala ya Ijumaa kwa anwani "Daraa Yawaomba Nusra Wenye Ikhlasi na Yaondoa Barakoa kutoka kwa Wanyonge!"
Wakati wa miaka ya 1840, wakati Ireland ilipokuwa katika baa kubwa la njaa kubwa ambalo lilichukua roho za zaidi ya watu milioni moja,
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Syria iliandaa kisimamo katika mji wa Ariha viungani mwa Idlib kwa anwani "Daraa Yaomba Nusra kwa Wenye Ikhlasi na Yafunua Barakoa kutoka kwa Wanyonge!"