Pongezi za Wabebaji Ulinganizi Kote Ulimwenguni kwa Mnasaba wa Idd ul-Adha Al-Mubarak 1442 H
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Wilayah Syria: Pongezi kwa Mnasaba wa Idd ul-Adha Al-Mubarak
Muhanga – Kichocheo cha Mabadiliko!
Mwendelezo wa amali umma zilizofanywa na Hizb ut Tahrir / Wilaya ya Sudan katika maeneo mbalimbali ya nchi ili kuunda rai jumla yenye utambuzi kuhusu vifungu vya Uislamu na masuluhisho yake yanazohusiana na nidhamu anuwai za maisha,
Rufaa kutoka mashababu wa Hizb ut Tahrir katika eneo la A'zaz kupinga uhalifu wa kukamatwa kwa wabebaji ulinganizi katika mji wa Idlib mikononi mwa kundi la Hay’at Tahrir Al-Sham.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria katika mji wa Al-Atareb viungani mwa Halfa iliandaa kisimamo baada ya swala ya Ijumaa kwa anwani: "Kwa Watu Wetu wa Daraa; Silaha Yenu ni Heshima Yenu Basi Jihadharini na Kuisalimisha!"