Jumanne, 07 Shawwal 1445 | 2024/04/16
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan Maoni ya Habari 19 Aprili 2023

Pindi Waislamu wanapodai kuhamasika kwa vikosi vyao vya kijeshi ili kuzikomboa Ardhi za Waislamu zinazokaliwa kwa mabavu, watawala husisitiza kuheshimiwa kwa mipaka ya kitaifa. Baada ya kuivunja Khilafah, wakoloni waliweka mipaka ya kitaifa baina ya Waislamu. Waliwagawanya na kuwadhoofisha Waislamu, ili kuhakikisha ukaliaji kimabavu wa ardhi zao.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Kampeni ya Twitter “Msikiti wa Al-Aqsa unayaita Majeshi ya Pakistan

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan inaandaa kampeni kubwa kwenye mitandao ya kijamii yenye kichwa "Msikiti wa Al-Aqsa unayaita Manajeshi ya Pakistan!" ili kusisitiza ukweli wa kisheria kuhusiana na kadhia ya Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kwamba ni ardhi ya Kiislamu inayokaliwa kwa mabavu na Mayahudi makafiri

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu