Alhamisi, 18 Ramadan 1445 | 2024/03/28
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Kongamano la Hizb ut Tahrir/ Wilayah Sudan: “Ukombozi wa Konstantinopoli: bishara njema ikatimia na inafuatiwa na bishara njema zaidi za kuhuisha juhudi za wanaume”

Kwa muongozo wa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu amlinde, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir ili zindua kampeni pana ya kiulimwengu kuadhimisha tukio Adhimu la Hijria la Ukombozi wa Konstantinopoli (mji wa Heraclius) ambao ulizungukwa kuanzia mnamo 26 Rabii’ al-Awwal mpaka 20 Jumada al-Awwal 857 H sawia na 5 Aprili mpaka 29 Mei 1453 M na hivyo bishara njema ya Hadith tukufu ya Nabii (saw) ikatimia:

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan Hizb ut Tahrir Imekoleza Kampeni zake za Kujenga Ufahamu na Kuunganisha Ummah

Kwa kuzingatia muongozo wa chama kushiriki katika maslahi ya Ummah, Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan, eneo la Omdurman Magharibi, ilifanya warsha kubwa ya kisiasa mnamo 14, Disemba 2019 kwa anwani: “Matatizo ya Kijiji cha Al-Ikhlas yapo baina ya Dola ya Ustawi na Dola ya Ukusanyaji”, ambayo ilipokelewa kwa maingiliano na uchangamfu mkubwa.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu