Ziara Ya Biden Hadi Tulsa Haitafuta Aibu ya Mauaji Mabaya Kabisa ya Kiubaguzi wa Rangi ya Amerika.
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Raisi wa Marekani Joe Biden anataka kusafisha sura mbaya ya Marekani ndani na nje ya nchi baada ya kuchukua hatamu kutoka kwa Trump.