Chaneli ya Kiislamu ya Oasis: Mahojiano na Dkt. Nazreen Nawaz Kuhusiana na Sheria ya Kiislamu ya Urathi
- Imepeperushwa katika Video
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Chaneli ya Kiislamu ya Oasis yafanya mjadala na Dkt. Nazreen Nawaz, Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Kuhusiana na Sheria ya Kiislamu ya Urathi.