Ondoeni Demokrasia na Msimamishe Khilafah kwa ajili ya Mabadiliko ya Kweli, kwa Kutabikisha Yale Yote Aliyoyateremsha Mwenyezi Mungu (swt)
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Shina la matatizo yetu sio ni nani anayetutawala, bali ni kipi anachotutawala nacho. Maadamu Pakistan inatawaliwa na sheria zilizotungwa na mwanadamu chini ya Demokrasia, badala ya Shariah iliyoteremshwa na Mwenyezi Mungu (swt) chini ya Khilafah, kamwe hatutaona mabadiliko ya kweli.