Afisi ya Habari
Wilayah Sudan
| H. 26 Jumada II 1447 | Na: HTS 1447 / 67 |
| M. Jumatano, 17 Disemba 2025 |
Mwaliko wa Kuhudhuria Mkutano na Waandishi wa Habari
(Imetafsiriwa)
Tunafurahi, katika Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan, kuwaalika wataalamu wa vyombo vya habari, wanasiasa, na wale wanaopenda masuala ya umma kuhudhuria mkutano na waandishi wa habari ambapo Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan atazungumza chini ya kichwa:
“Usimamizi wa Amerika wa Mgogoro wa Sudan: Kuongeza Majeraha na Kugawanya Nchi”
Saa: Jumamosi, 29 Jumada al-Akhir 1447 H, 20/12/2025 M, saa 1:00 p.m.
Mahali: Afisi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan mjini Port Sudan – Mtaa wa Al-‘Azmah - Mashariki Uga.
Kuhudhuria kwenu kutanogesha majadiliano.
Ibrahim Othman (Abu Khalil)
Msemaji Rasmi wa Hizb ut Tahrir
katika Wilayah Sudan
| Hizb-ut Tahrir: Afisi ya Habari Wilayah Sudan |
Address & Website Tel: 0912240143- 0912377707 http://www.hizb-sudan.org/ |
E-Mail: Spokman_sd@dbzmail.com |



