Kile Ambacho Mabenki ya Kiislamu Yanakiita Murabaha na Hukmu Yake ya Kisheria!
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kifiqh
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Assalam Aleykum, Hakika sisi tunajua kuwa murabaha kama fahamu inaruhusiwa kisheria, lakini naamini uhalisia wa sasa wa murabaha katika mabenki ya Kiislamu ni kinyume na Sheria, haswa kwa watu wetu huko Palestina,



