Nguo ambazo zina Marashi (Cologne) ni Najisi na Hazifai Kuswalia
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kimfumo
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ni ipi hukmu ya kuswali na nguo zilizoyunyiziwa marashi yenye pombe? Mwenyezi Mungu akulipe kheri.
Ni ipi hukmu ya kuswali na nguo zilizoyunyiziwa marashi yenye pombe? Mwenyezi Mungu akulipe kheri.
Nina swali linalohusiana na kanuni msingi hizi mbili: "La Hafifu katika Maovu Mwili au La Hafifu katika Madhara Mawili", zinazonukuliwa na wabebaji ulinganizi wengi na harakati nyingi za Kiislamu ili kushiriki katika uchaguzi wa ubunge na urais.
["Mapema mnamo siku ya Ijumaa, Bunge la Kyrgyz liliidhinisha kujiuzulu kwa Rais Sooronbay Jeenbekov, na kufutilia mbali hali ya hatari, ambayo ilitangazwa wiki moja iliyopita katika mji mkuu, Bishkek ..." (www.yenisafak.com/ar/,16 / 10/2020)].
Hili hapa jibu la maswali juu ya Swala ya Ijumaa ambayo mumeuliza kuihusu:
Mnamo tarehe 8/10/2020, Waziri wa Mambo ya nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu alifichua kwamba alikuwa amefikia makubaliano mapya kati ya nchi yake na Ugiriki.
"Rais wa Azerbaijan, Ilham Aliyev alisema katika hotuba iliyopeperushwa kwenye runinga ya serikali jioni ya Jumapili tarehe 4/10/2020 kwamba Armenia lazima iweke ratiba ya kujiondoa kutoka katika eneo la Nagorno-Karabakh kabla ya kusitisha makabiliano yaliyofanyika huko takriban wiki moja iliyopita ... Aliyev alichukulia kuwa kuudhibiti mji wa Gabriel jana, Jumapili, ni funzo kwa Armenia na wafuasi wake, na inapaswa kuzingatia kutokana na hilo, kama alivyosema." (Al-Jazeera, 5/10/2020).
Shekhe wetu mkubwa, Mwenyezi Mungu azibariki juhudi zenu, aziongoze hatua zenu, akupeni kilicho bora zaidi, akudhalilishieni magumu, na atupe nguvu ya nusra ya dini yake.
Swali kwa Sheikh wetu katika Shakhsiya Juzuu ya Tatu ukurasa wa 301 msitari wa tatu na wa pili unasema: ama matagaa (furu') hukadiriwa kutoyafuata kuwa ni uovu basi hivyo haiitwi uongofu, niliambiwa kwamba neno "upotofu" linapaswa kuwekwa badala ya neno "uongofu.
Baadhi ya wanafikra katika nchi yetu, Indonesia, wanakataa kuregelea utumiaji wa sarafu za dhahabu na fedha, na kusema kuwa Shari'ah haiagizi kwamba pesa maalum zitumike, wakitumia dalili kwamba Umar ibn al-Khattab alidhamiria kutengeza dirham kutokana na ngozi za ngamia, je rai hii ni sahihi?
Baraza la Kijeshi nchini Mali lilitangaza mnamo Alhamisi jioni 27/8/2020 kuachiliwa huru kwa Raisi Ibrahim Boubacar Keita, kwa mujibu wa kile kilicho ripotiwa na shirika la Anadolu.