Mapya Yanayojiri Nchini Libya
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kisiasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Baada ya kusimama kwa muda kwa ghasia baina ya Haftar, kibaraka wa Marekani, na majeshi yanayo husishwa na al-Sarraj, kibaraka wa Ulaya, majeshi ya Haftar yameregelea mashambulizi yao ya mji mkuu, Tripoli. Je, Haftar, na nyuma yake Marekani, wanaona kuwa udhibiti wa Tripoli sasa unawezekana?



