Al-Waqiyah TV: Ujumbe wa Haraka: “Enyi Majeshi… Vimalizeni Vita!”
- Imepeperushwa katika Al-Waqiyah TV
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Al-Waqiyah TV:
Ujumbe wa Haraka: “Enyi Majeshi… Vimalizeni Vita!”
Al-Waqiyah TV:
Ujumbe wa Haraka: “Enyi Majeshi… Vimalizeni Vita!”
Kwa kuzingatia matendo ya kishujaa yaliyofanywa na mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile la Kiyahudi linachoendelea na kudumu katika shambulizi lake linaloendelea kwa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na uzingiraji wake na ulipuaji mabomu wa Ukanda wa Gaza ambao umekuwa ikiendelea kwa miaka 17
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Syria iliandaa maandamano katika mji wa Kafra mnamo Ijumaa "Kimbunga cha Umma ni Majeshi yenye kupigana Jihad,
Hizb ut Tahrir / Wilayah Jordan iliandaa maandamano makubwa ambayo ilikuwa imeyaitisha kupitia afisi yake ya habari. Yalifanyika baada ya swala ya Ijumaa mbele ya Msikiti wa Chuo Kikuu cha Jordan leo.
Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili yaliyofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yalisababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa wanaume na wanawake wa Kiislamu zaidi ya 30,000.
Leo Ijumaa 20 Oktoba 2023 Miladi / 05 Rabi’ al-Akhir 1445 Hijria baada ya Swala ya Ijumaa, Hizb ut Tahrir Tanzania ilifanya visimamo vya maandamano baridi (picketing) sehemu mbali mbali nchini kutoa mwito kwa majeshi ya nchi za Waislamu kuchangamsha majeshi yao kuikomboa Gaza, Palestina na Masjid Aqsa.
Kwa kuzingatia matendo ya kishujaa yaliyofanywa na mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa – Palestina chini ya kauli mbiu ya Kimbunga cha Al-Aqsa dhidi ya umbile nyakuzi la Kiyahudi linaloendelea, na kuzidi katika mashambulizi yake kwa Msikiti Uliobarikiwa wa Al-Aqsa na uzingiraji wake na ulipuaji mabomu ambao umeendelea kwa miaka 17 kwenye Ukanda wa Gaza, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir itafanya Tufani ya Twitter ambayo sasa inajulikana kama X chini ya kichwa:
Operesheni Kimbunga cha Al Aqsa Ujumbe wa Dharura kwa Ummah wa Kiislamu na Majeshi yake!
Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa:
Viangusheni Viti vya Utawala na Muhamasishe Majeshi!
Ni zaidi ya siku saba zimepita tangu viumbe waoga zaidi kuwashambulia binti zetu, dada zetu na mama zetu nchini Palestina.
Tunamsifu Mwenyezi Mungu ambaye alijitambulisha kwenu, kwa hivyo mkajua Upweke na upekee wake katika kuamrisha, kukataza, na Tadbir (kupanga).