Alhamisi, 11 Dhu al-Hijjah 1447 | 2026/05/28
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Amerika: 

Ujumbe wa Idd al-Adha 1447!

Kul Am wa antum bi khair, Mwenyezi Mungu awabariki na awalipe malipo makubwa sana.

Katika Idd hii iliyobarikiwa, Hizb ut Tahrir / Amerika inatoa salamu zake za dhati kwenu na wapendwa wenu. Mwenyezi Mungu akubali amali zenu njema, atupe rehema zake, na atulinde kutokana na adhabu yake. Idd hii iwe ya mwisho bila Khilafah.

Tunaposherehekea, hatuwezi kusahau hali halisi inayowalemea wengi kote ulimwenguni. Kuanzia ugumu wa kiuchumi unaoongezeka unaoacha familia zikipambana kukidhi mahitaji ya msingi, hadi dhulma zinazowanyima watu utu na fursa, mizigo ni ya kihakika na inayohisiwa sana. Hata misikiti iko chini ya hofu ya kila mara huku uhalifu wa chuki ukiongezeka.

Lakini, kama waumini, tunashikana kwa dhati ukweli kwamba pamoja na uzito huja wepesi. Na baada ya utawala huu wa kidhalimu, kutakuwa na Khilafah kwenye nyayo za Utume.

Idd hii tukufu itukumbushe kwamba ikhlasi na kujitolea vinahitajika ili kutuongoza kutoka kwenye giza la mfumo wa sasa wa ulimwengu. Zaidi ya hayo, Hijja ni ukumbusho kwamba umoja wetu unavuta zaidi ya fungamano la kiroho hadi la kimfumo na kisiasa linalotusukuma kuondoa mipaka ya dola ya kitaifa (utaifa) kati yetu.

Idd Mubarak wa Kul am wa antum bi khair.

Mzungumzaji: Haitham Ibn Thbait

Jumatano, 10 Dhu al-Hijjah 1447 H - 27 Mei 2026 M

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu