Jumatano, 30 Dhu al-Qi'dah 1443 | 2022/06/29
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Kalima ya Msikiti Kuhusu Mipangalio ya Wizara ya Masuala ya Kidini nchini Tunisia!

Kalima ya Ustadh Tariq Raafi' mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia mbele ya Msikiti wa Swahaba Mtukufu Abu Lababah al-Answari Kuhusu Mipangalio ya Wizara ya Masuala ya Kidini nchini Tunisia iliyo lazimishwa juu ya Nyumba za Mwenyezi Mungu ambapo alielezea kuwa Swala ya Jamaa ni miongoni mwa nembo zilizo fungwa kisheria zisizo badilika.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Kuitaka Idhaa ya Mosaïque FM Haki ya Kumjibu Mwanahabari, Ziyad Kreishan

Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia imeitaka idhaa ya Mosaïque FM haki ya kujibu taarifa za mwanahabari Ziyad Kreishan na ambaye amemtaja kila anaye tabanni fikra ya (halali na haramu) kuwa na msimamo mkali na hilo ni kupitia kipindi "Media Show" kwenye matangazo ya idhaa ya Mosaïque FM.

Soma zaidi...

Amali zilizo Andaliwa kipindi cha Kampeni ya Kiulimwengu, “Ukombozi wa Kostantinopol Bishara Njema ikatimia…ikifuatiwa na Bishara Njema”!

Chini ya muongozo wa Amir wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, Mwenyezi Mungu Swt Amuhifadhi, Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir imezindua kampeni pana ya kiulimwengu kuadhimisha tukio la Kumbukumbu ya Hijiria ya Ukombozi wa Kostantinopoli  #Kostantinopol...

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilaya Tunisia: Warsha ya Wanahabari: “Tume idhihirisha nguvu ya dola za wakoloni kwa nguvu ya jeshi”

Baada ya hukumu ya mahakama ya kijeshi dhidi ya Mkuu wa Afisi ya Kisiasa ya Hizb ut Tahrir / Wilaya Tunisia Ustaadh Abdel Raouf Amiri kutokana na suala la kusambaza taarifa kwa vyombo vya habari zinazohusu ziara ya Wazayuni mjini Djerba na ulinzi wa usalama na jeshi…

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu