Ijumaa, 19 Ramadan 1445 | 2024/03/29
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir Ubelgiji: Mjumuiko: “Inueni Sauti zenu kwa ajili ya Allepo!”

Hizb ut Tahrir Ubelgiji iliandaa mjumuiko kwa anwani “Inueni Sauti zenu kwa ajili ya Allepo!” Ndugu zetu walijadili yale ambayo mapinduzi nchini Syria yameyafikia hususan mji unao shambuliwa wa Aleppo, na yapi ambayo Ummah wa Kiislamu wanapaswa kufanya kwa ajili ya ushindi wa watu wetu huko.

Na vipi kazi ya mtu binafsi inavyo tofautiana na yale ambayo nchi zinapaswa kuyafanya kuhusiana na hili, lakini kwa masikitiko makubwa, serikali ziliko sasa katika biladi za Kiislamu sio tu hazijasimama pamoja nao bali pia zinashirikiana katika njama na kufanya majaribio ya kuyatibua mapinduzi hayo yaliyo barikiwa ya Sham, badala ya kutuma majeshi kuwaokoa watu wetu nchini Syria na kumvunja dhalimu pamoja na wasaidizi wake.

Na kwa mwangaza huu ndugu zetu waheshimiwa walifafanua vipi hilo lilivyo weza kutokea mjini Aleppo ni kutokana na khiyana na ulaji njama wa serikali hizi ambazo zinadai kirongo kuwa zinaunga mkono watu wa Syria.

 Jumapili 19 Rabii Al-Awwal 1438 H - 18 Disemba 2016 M

 Naibu wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Ubelgiji

#حلب

#حلب_تباد

#حلب_تحترق

#HalepteKatliamVar

 #Aleppo

#HalepeKalkanOl

#OrdularHalepe

#AleppoExterminated

#Halepimhaoluyor

#AleppoGenocide

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoIjumaa, 01 Mei 2020 06:22

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu