Hizb ut Tahrir / Uturuki: Amali Pana za Kukinusuru na Kukiombea Nusra Kimbunga cha Al-Aqsa!
- Imepeperushwa katika Uturuki
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Uturuki: Amali Pana za Kukinusuru na Kukiombea Nusra Kimbunga cha Al-Aqsa!
Hizb ut Tahrir / Uturuki: Amali Pana za Kukinusuru na Kukiombea Nusra Kimbunga cha Al-Aqsa!
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki iliandaa kisimamo katika mji wa Ankara, baada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti wa Haji Bayram katika eneo la Ulus, cha kuwanusuru ndugu zetu Waislamu katika mji wa Jenin al-Qassam
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki itaandaa kongamano la kimataifa kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 102 ya kuvunjwa Dola ya Khilafah, kwa ushiriki mpana chini ya kichwa:
“Kuvunjwa kwa Khilafah… Janga Kuu la Karne!”
Hizb ut Tahrir inawapa pole mashahidi wa matetemeko ya ardhi yaliyoikumba Uturuki na Syria, na inamuomba Mwenyezi Mungu Mtukufu awaandike mbele yake kuwa ni mashahidi wa Akhera, ikisadikisha Hadith iliyopokewa na Bukhari na Muslim kutoka kwa Abu Hurairah
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki ilizindua kampeni yenye kichwa "Kuporomoka kwa Jamii...Matatizo na Suluhu"
Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Dkt. Nazreen Nawaz alishiriki katika kampeni ya vijana iliyoanzishwa na Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Uturuki
Utawala katili wa China unaendelea na mauaji na ukatili katika eneo la Turkestan Mashariki ambayo iliikalia kimabavu kwa miongo kadhaa bila ya kupungua, ambapo dola ya China, ambayo imewafungia mamilioni ya Waislamu wa Uyghur katika kambi za uzuizi kwa jina la (utoaji elimu), inatumia mateso kama silaha ya kutaka kuwaondoa Waislamu wa Turkestan Mashariki kutoka kwenye kitambulisho chao cha Kiislamu kwa kushajiishwa na watawala walio kimya katika nchi za Kiislamu
Taarifa ya Baraza la Shura la la Mjumuiko wa Familia kuhusiana na Kauli za Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki!
Filamu ya makala iliyotayarishwa na jarida la Kokludegisim (linalochapishwa na Hizb ut-Tahrir nchini Uturuki) inaangazia mashtaka yasiyo haki ya idara ya mahakama ya Uturuki dhidi ya mashababu wa Hizb ut-Tahrir na ukinzani wa kimahakama katika hukumu zilizotolewa na utawala dhalimu juu yao.
Shukrani kwa Mwenyezi Mungu na fadhila zake, Waislamu wa Gaziantep walikusanyika katika uwanja huo, wakiitikia wito wa Hizb ut Tahrir,