Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 292
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Vichwa Vikuu vya Toleo 292
Vichwa Vikuu vya Toleo 292
Vichwa Vikuu vya Toleo 291
Vichwa Vikuu vya Toleo 290
Hivi karibuni, Uchina imepeleka maelfu ya vikosi vya kijeshi katika Mstari Halisi wa Udhibiti (LAC) ikizidisha mvutano na majirani zao India. Kukabiliana na hatua hizi, India ikapeleka vikosi vingi ili kusaidia vilivyoko.
Mojawapo ya nukuu za tweet za Trump inasoma, “HAKUNA NJIA (SIFURI!) yoyote kwamba kura zinazo letwa kupitia njia ya posta kwa vvovyote vile zitakuwa na ulaghai mkubwa. Visanduku vya posta vitaibiwa, kura zitaghushiwa na hata kuchapishwa kinyume cha sheria na kutiwa saini kilaghai. Gavana wa California anatuma Kura kwa mamilioni ya watu, yeyote…”
Vichwa Vikuu vya Toleo 289
Vichwa Vikuu vya Toleo 288
Vurugu lilitokea baina ya mamia ya waandamanaji na majeshi ya serikali mnamo Mai 13 katika Kashmir iliokaliwa na India, baada ya kuuliwa kijana wa miaka 25 Mahruddin Bir Shah.
Vichwa Vikuu vya Toleo 287
Vichwa Vikuu vya Toleo 286