Ugonjwa wa virusi vya Korona na Muungano wa Ulaya Je, Virusi hivi Vitauvunja? Au Je, Wataendelea Kukithiri Kulia? Kipi Kitawatokea Waislamu na Kipi Wafanye?
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ugonjwa huu hakika umeathiri Ulaya kama ulivyo athiri wengine, kutatanisha nchi zake kwa sababu ya uharaka wa kusambaa kwake na kukosa kwao uwezo wa kuukabili, wa kihisi unyonge mbele ya virusi hivyo.



