Wanaume wetu Waislamu Wanafedheheka bila ya Khilafah
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo tarehe 17 Oktoba 2022, BBC iliripoti juu ya kugunduliwa kwa wahamiaji 92 waliokuwa hawana nguo wengi wao kutoka Syria na Afghanistan, ambao wengi wao walikuwa na majeraha. Walipatikana kwenye mpaka kati ya Uturuki na Ugiriki na polisi wa Ugiriki.



