Vita vya Urusi na Ukraine ni Fursa ya Kurudi tena kwa Mlinzi na Ngao ya Kweli ya Kiulimwengu, Khilafah
- Imepeperushwa katika Habari na Maoni
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo Alhamisi, 24 Februari 2022 Urusi iliivamia rasmi Ukraine na hivi sasa wamo katika vita vikali. Vita hivi ni kupamba moto kwa mzozo baina ya Urusi na Ukraine ulioanza tokea mwaka 2014 kutokana na kubadilishwa kwa uongozi wa Kiev.



