Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 307
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Vichwa Vikuu vya Toleo 307
Vichwa Vikuu vya Toleo 307
'Uislamu ni dini iliyo kwenye mgogoro kote ulimwenguni leo', anasema Macron, huku akizindua mpango wa kuuhami usekula. (Chanzo: Al Jazeera Na Mashirika ya Habari)
Msamaha wa kusimamisha kazi nchini India kwa sababu ya 'uwindaji wa serikali'. Mamlaka zafunga akaunti za benki baada ya kukashifiwa kwa rekodi ya haki za binadamu ya serikali.
Afisi Kuu ya Habari: Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 49 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume