Vichwa Vya Habari 24/07/2020
- Imepeperushwa katika Vichwa vya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Pindi dola mpya inapoibuka ili kuipiku dola iliyopo, vurugu na mchuano haviepukiki — Hivyo ni muda tu kabla ya Amerika na China kupigana.
Pindi dola mpya inapoibuka ili kuipiku dola iliyopo, vurugu na mchuano haviepukiki — Hivyo ni muda tu kabla ya Amerika na China kupigana.
Shirika la fedha duniani limesema kuwa janga la Korona Litaugharimu uchumi wa dunia dolari trilioni 12 baada ya kupunguza ukuaji wake kwa kiwango kikubwa.
Tunajua kwamba Muhammad Al-Fatih – Mwenyezi Mungu awe radhi naye – pindi alipoifungua Konstantinopoli aliifanya Hagia Sophia kuwa msikiti… Tunajua pia kwamba Mustafa Kamal – laana za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake – aliiondoa sifa hii ya msikiti ya Hagia Sophia na kuifanya kuwa makavazi...
Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan iligawanya toleo la mapambano katika miji mingi ya Sudan kwa anwani "Marekebisho ya Bajeti Mwaka 2020 ni Kuendeleza Uharibifu katika uchumi wa Sudan kwa Kuutii Mfuko wa Fedha wa Kimataifa"