Uislamu na Ubaguzi wa Rangi
- Imepeperushwa katika Uchambuzi
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Uislamu ni Ujumbe kwa wanaadamu wote. Unawalingania watu wote, bila kuzingatia rangi. Uislamu haukuja kwa jamii, kabila, au taifa moja, au kwa watu maalum wanaoishi katika zama au eneo maalum.



