Hizb ut Tahrir / Indonesia: Athari za Kuipiga Marufuku Hizb ut Tahrir Nchini Indonesia
- Imepeperushwa katika Indonesia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Kalima ya Dkt. Ismail Yusanto kuhusu uamuzi wa Mahakama ya Kiidara wa Kuipiga Marufuku Hizb ut Tahrir
Kalima ya Dkt. Ismail Yusanto kuhusu uamuzi wa Mahakama ya Kiidara wa Kuipiga Marufuku Hizb ut Tahrir
Julai 2020 inakamilisha miaka 25 ya kumbukumbu ya mauwaji ya halaiki ya Srebrenica, ambapo majeshi ya Serbia yaliingia katika eneo la Srebrenica, lililotengwa kama 'eneo salama' na Umoja wa Mataifa wakati wa vita vya Bosnia,
Tukiwa tumeingia ndani ya mwezi mtukufu wa Dhul-Hijjah tuna kumbushwa juu ya kujitoa muhanga kwa Kipenzi cha Mwenyezi Mungu, Ibrahim (as) alipomuwacha mwanawe na mke wake katika jangwa baina ya Safa na Marwa.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika mji wa Babka viungani mwa Aleppo Magharibi kwa anwani "Na ilikuwa ni haki juu yetu kuwanusuru Waumini"