Hizb ut Tahrir / Wilaya Pakistan: Kwa Kubinafsisha Nishati na Madini, Serikali ya PTI inawapora Waislamu Utajiri Wao na Kukiuka Sunnah ya Mtume (saw)!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Japokuwa chini ya Ubepari, Pakistan ina uzito mdogo sana kiulimwengu kuliko vidola vidogo vyenye maliasili kidogo, kiasili imebarikiwa na Mwenyezi Mungu (swt) kwa rasilimali za nishati na Madini ya kutosha.



