Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Kampeni "Khilafah Itaikomboa Kashmir"
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Baada ya uunganishaji kwa nguvu wa India wa Kashmir mnamo Alhamisi, 19 Agosti 2019 M, Waislamu Kashmir wanakabiliwa na ukandamizwaji wa kikatili kutoka kwa dola ya kibaniani.



