HizbutTahrir Canada: Kutoka George Floyd hadi Malcolm X; Kwa Nini Uislamu ndiyo njia pekee ya Waamerika wenye Asili ya Kiafrika?
- Imepeperushwa katika Canada
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Kusimamisha nidhamu za Kiislamu ndiyo njia pekee ya ukombozi kwa watu wote, hususan Waamerika wenye asili ya Kiafrika, kwa kuonesha kwamba uraia wa daraja la pili ni wa kudumu.



