Kampeni ya Hizb ut Tahrir Wilaya Misri: Utangulizi wa Katiba ya Khilafah
- Imepeperushwa katika Misri
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
Utangulizi wa Katiba ya Khilafah
Utangulizi wa Katiba ya Khilafah
Kampeni katika Msikiti wa al-Fat’h jijini Cairo
Ummah wa Kiislamu umepitia kumbukumbu ya maumivu; ni kumbukumbu ya kuvunjwa kwa serikali ya Kiislamu ambayo misingi yake imeanzishwa na Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) mjini Madina, kisha kuendelezwa na Waislamu, kizazi baada ya kizazi.
Huku umma unapoingia katika mwezi mtukufu wa Ramadhan, Hizb ut-Tahrir Kenya ingependa kutuma risala zake za dhati kuwapongeza Waislamu wa Kenya na ulimwengu kwa jumla.