Je, Bismillahi ni Sehemu ya Suratul Faatiha?
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kifiqh
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Swali langu ni: ikiwa wanazuoni wamekubaliana kwamba, yeyote anayepinga kuwa Bismillahi sio aya katika Al-Faatiha basi hawi kafiri. Kwa sababu (hiyo Bismillahi) imethubutu kwa njia ya Aahaad (kupokewa na watu wachache) na wala sio kwa njia ya Tawaatur (kupokewa na watu wengi sana)…