Al-Waqiyah TV: Ujumbe wa Haraka “Je, Palestina si mama yako, Ewe Erdogan?!”
- Imepeperushwa katika Al-Waqiyah TV
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Sehemu ya khutba ya Ijumaa ya Sheikh Yusuf Makharza (Abu Hammam).
Sehemu ya khutba ya Ijumaa ya Sheikh Yusuf Makharza (Abu Hammam).
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan imezindua kampeni kwenye mitandao ya kijamii yenye kichwa "Uongozi wa Kiulimwengu wa Khilafah uko Tayari". Kampeni hiyo imetoa silsila ya video zenye ujumbe kwa Waislamu nchini Pakistan kutoka kwa idadi ya wawakilishi wa hizb kote duniani
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika mji wa Deir Hassan viungani mwa Idlib
Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir Dkt. Nazreen Nawaz alishiriki katika kampeni ya vijana iliyoanzishwa na Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Uturuki
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika mkusanyiko wa kambi za Karama viungani mwa Idlib
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika mji wa Areha viungani mwa Idlib
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika kijiji cha Sahara viungani mwa Aleppo
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika mji wa Babika viungani mwa Aleppo
Ulinganizi wa Kiulimwengu Sehemu ya 60 – Khilafah Rashida kwa Njia ya Utume
Kuhusiana na muitiko wa dharura kwa mafuriko, Khilafah ingekataa mikopo inayoegemea riba, kuitisha mahitaji kutoka sehemu ambazo hazijaathirika za Ulimwengu wa Kiislamu, kutawataka wanajeshi wa Kiislamu kusaidia badala ya wanajeshi wa Marekani na kuzingatia kikamilifu maafa badala ya kupurukushwa na mivutano duni ya kuwania madaraka.